Habari Za Hivi Karibuni

Article Image

Mabingwa Wa Ligi Kuyaanza Vizuri Msimu Mpya

Timu ya Yanga imeanza msimu mpya kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya timu ya Simba katika mechi ya kufungua ligi.

Soma Zaidi
Article Image

Rai Samia atoa Onyo

Rais Samia Suluhu ametoa onyo kwa wale wote waliochochea uvunjifu wa amani nchini Tanzania. Amesema hayo kwenye Hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa Mjini Dodoma..

Soma Zaidi
Article Image

Uwekezaji wa Kinawa Russia kuhusu Uranium Unavunja Rekodi Nchini

Uwekezaji kutoka Russia umefikia kiwango cha juu zaidi katika historia ya nchi hii mwaka huu.Ambapo pia Rais wa Urusi Vdlamir Putin ameweza kumpongeza Rais wa Tanzania kwa lkushinda kwenye uchaguzi wake mkuu mwaka huu na kuibuka mshindi kwa asilimia 97.82%

Soma Zaidi
Article Image

Mwanamuziki Maarufu Atoa tamko lake.

Diamond Platnumz ametoa maoni yake baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu kubusu kile kinachoendelea nchini tanzania kuhusu ya usalama iliyo jitokeza siku ya uchaguzi ya tarehe 29 octoba. kupitia insta story yake ameweza kuwandika kuwa " Kuwa Msani wa tanzania ni kazi kubwa sana".

Soma Zaidi
Article Image

Elon Musk ametoa Kifurushi Kipya

Mmiliki wa mtandao wa X zamani twiter Bilionea Elon Musk ametowa offaya dola milioni moja kwa mtu yeyote akaweza kudukuwa kampuni yake ya Spaxe X.

Soma Zaidi
Article Image

Mwenyeketi Wa Chadema Tundu Lisu ashindwa kufikishwa Mahakani leo hii.

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ambayo ilikuwa iendelee leo Jumatatu, Novemba 10, 2025, imeahirishwa na kupelekwa hadi Jumatano, Novemba 12, mwaka huu.Mahakama chini ya Jaji Danstan Ndunguru haikukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuahirisha kwa siku 14, na badala yake ikaamua kuwa shauri hilo litaendelea Jumatano ya wiki hii, Novemba 12, 2025.

Soma Zaidi
Article Image

Kutoka makao Makuu ya Immigration Tanzania

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ambayo ilikuwa iendelee leo Jumatatu, Novemba 10, 2025, imeahirishwa na kupelekwa hadi Jumatano, Novemba 12, mwaka huu. Awali, kesi hiyo ilitarajiwa kuendelea kwa upande wa Jamhuri kuwasilisha shahidi wa nne, lakini mashahidi waliopaswa kufika kutoka mikoa ya Ruvuma na Mbeya hawakuweza kusafiri kufika jijini Dar es Salaam kutokana na hali ya kutokuwa na utulivu iliyoripotiwa katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo. Wakili wa Serikali Mkuu, Thawabu Issa, ameeleza Mahakama kuwa kutokana na changamoto hizo za kiusalama, mashahidi hawakuweza kufika. Soma Zaidi

Article Image

Mchungaji wa Free Methodisti church Marekani Ev.Sylvester Niyongabo Amefariki Dunia

Mchungaji wa kanisa la Free Methodist marekani marehemu Pastor Silverster Niyongaboamefariki Dunia huko marekani katika state ya texas. ikumbukwe kuwa mchungazi huyo kabla ajaokoka alikuwa mchezaji wa team ya GHI1 Bilube hapo kambini nyarugusu akijulikana kwa jina maridadi kabisa la Simple .

Soma Zaidi
Article Image

Coach Heritier Ilunga ndio mwenye hii page ya Joshua Media.

Pia ameaalika walimu na wanafunzi kuja kusoma masomo am,bayo ni ya bure kwenye shule la fraternite ambapo masomo yanaotolewa ni ENGLISH,GRAPHIC DESIGN,COMPUTER SCIENCE, CODING NA PROGRAMMING kwa watu wote ambao wanaitaji kujisomea ni bure kabisa.

Soma Zaidi
Article Image

Mkuu wa kambi ya wakimbizi Nyarugusu Mh siasa Manjenje

Ofisi ya mkuu wa kambi inawatangazia wakimbizi na waomba hifadhi wote wa kambi ya Nyarugusu kuwa,mkimbizi yeyote ambaye alikamatiwa pikipiki yake kambini na kupelekwa polisi kasulu anapaswa kufika Ofisini na Nyaraka zote halali za umiliki wa pikipiki ili apewe kibali cha kwenda polisi kasulu kufuatilia pikipiki yake. usikiapo tangazo hili mtaarifu na mwenzako.

Soma Zaidi